Msanii Ney wa mitego aumbuka vibaya

Msanii Ney wa mitego aumbuka vibaya

Hakuna mtanzania asiyejua ya kwamba msanii wa muziki wa bongofleva Emmanuel Elibariki a.k.a Ney wa mitego kafungiwa na BASATA kwamba asijihusishe na muziki kwa muda usiojulikana.

Kwanza niseme tu hongera kwa kufungiwa kwa sababu huyu jamaa alikuwa anakera watu sana kwa nyimbo zake zisizoeleweka mlengo wake ilikuwa ni nini hasa?

Nyimbo nzima kusemasema watu tu,sasa ndio muziki gani huo?.sasa unajua ni kwa nini nakwambia kaumbuka? Ni kwa sababu huu wimbo wake wa mwisho kuutoa unaoitwa pale kati patamu ,ukiusikiliza utaelewa wazi kwamba alikuwa anatafuta KIKI kama aliyopata Snura na wimbo wake wa chura.

Sasa Ney alidhani na yeye ataitwa na media zote kufanya interview lakini kinyume chake hakuna hata chombo cha habari chic hire kilichomwita wala nini,na hata habari yake ya kufungiwa wala haijawa gumzo kabisa kwenye vyombo vya habari kama alivotegemea yeye.

Na hii ni kwa sababu clouds media walipotezea so hata media zingine zikapotezea pia.

Pole sana Ney
Huyu si alikuwa team lowasaa wakati wa uchaguzi mkuu
 
Sipendi hilo neno la mwisho... Kwani clouds ndio nani. Hawa si ndio wanaongoza kwa kubania wanamziki? Kwan clouds ndio role modo ya vyombo vingine vya habari? Ila naungana na wewe kusema Ney alizidi
 
Jamaa alisema ana Bilion 1 bank akazitumie! kwanza huyu jamaa yaani miziki yake sijui ni style ipi ya mziki anaoimba! Aende akarithi kiti cha Jerry Muro ni kiropo sana
Bilioni moja yale maneno tu ya changamsha genge tu kwani watanzania hatujuani au wewe ni mgeni hapa bongo
 
Binafsi nmefrah sana tyu, alikuwa ananikera sana tyu
 
Sasa kama mwenyewe umeshasema hapo kuwa kila mtu anajua kuwa Nay kafungiwa sasa ulitaka waandishi waitishe tena press conf?
 
All in all,jamaa is financially stable for couple of years since music is his 'other' job...
Mfano tafta episode ya gear nn cjui kpnd cha mawingu tv
 
Apo kati kwako si kutamu nini wanaume wamekukimbia unamshushia hasira Ney wa watu..tatizo lako umekitoa sana hadi kimeisha utamu
 
Kweli mkuu, ila me napendekeza aukumiwe viboko 365 awe anacharazwa kila siku kimoja kwenye maeneo mbali mbali ya mwili tena sehemu tofauti jijini dar na mikoani ili iwe fundisho
vipi kuhusu mafisadi...
 
Usikute hapo mlipo mmebanwa na njaa mpaka mnashindwa kuhema, kazi kuombea wengine yawafike mabaya ndio mfurahi. Kati yenu nani mwenye maadili au unaafiki tu unawasumbua?
 
Acha kuhemka,soma thread vizuri basi,khaa
 
Thread umeleta wewe unafurahia Ney kakomolewa, sasa nini cha kusoma vizuri hapo? Eti unafurahia atapigwa na rumba, hizo ni akili za kichawi. Sasa ukimuona anaendelea kuburuza mikoko sijui utajinyonga? Acha majungu kama BASATA, kwa Tanzania hii sijawahi kukutana na mtu anayefuata maadili tangu nizaliwe. Kwere tu.
 
Hakuna mtanzania asiyejua ya kwamba msanii wa muziki wa bongofleva Emmanuel Elibariki a.k.a Ney wa mitego kafungiwa na BASATA kwamba asijihusishe na muziki kwa muda usiojulikana.

Kwanza niseme tu hongera kwa kufungiwa kwa sababu huyu jamaa alikuwa anakera watu sana kwa nyimbo zake zisizoeleweka mlengo wake ilikuwa ni nini hasa?

Nyimbo nzima kusemasema watu tu,sasa ndio muziki gani huo?.sasa unajua ni kwa nini nakwambia kaumbuka? Ni kwa sababu huu wimbo wake wa mwisho kuutoa unaoitwa pale kati patamu ,ukiusikiliza utaelewa wazi kwamba alikuwa anatafuta KIKI kama aliyopata Snura na wimbo wake wa chura.

Sasa Ney alidhani na yeye ataitwa na media zote kufanya interview lakini kinyume chake hakuna hata chombo cha habari chic hire kilichomwita wala nini,na hata habari yake ya kufungiwa wala haijawa gumzo kabisa kwenye vyombo vya habari kama alivotegemea yeye.

Na hii ni kwa sababu clouds media walipotezea so hata media zingine zikapotezea pia.

Pole sana Ney
wakati ney anazungumza na eatv alisema anabadilisha maneno tu ya nyimbo af ataiachia tena ndo tafsir yakufungiw muda usiojulikana
 
No reaserch no right to speak!!!! Mkuu unauhakika na uliachoandika????

Mbali na hayo uliyoyasema kumbuka kuwa E FM 93.7 Dar waliwakutanisha Nay wa Mitego na Kiongozi wa Basata na Wakabishana sana kuhusu hizi mambo za kufunguia nyimbo na yule kiongozi wa Basata aliishia kujiuma uma tuuu na utaona kabisa ni chuki bianfsi!!! Alisema sababu kubwa ni cover zilizo tumika na Maudhui lakini Mtangazaji alisemwambia sio lazima wote waelewe kama wewe!!!

Pili NaY alihoji kwanini Media zilizo cheza nyimbo yake kwa Takribani Siku 7 kwanini hazikufungiwa na TCRA hadi basata ndo wamekuja kuona wimbo unamatatizo baada ya siku saba kupita!!! Kumbuka kila radio station kabla ya kucheza nyimbo lazima isikilizwe kabla ya kuipeleka hewani!!

Ukisema hakufanya interview wewe ni Muongo Media nyingi tuu zimemuhoji!!!

Angalia MRISHO MPOTO,AFANDE SELE,PRO J na wengine wamekuwa mstari wa mbele katika kumtetenea katika hilo hao wote ni wajinga? Na ninafikiri ishu imeisha subiri Video Next wiki!!!!!!,tumeshamuona kwenye show ya Mwendokasi Nay akiperform Pale kati Patamu!!!!!

Acheni Chuki binafsi imba wewe Pale kati patamu kama utauzaa Watu wanataka burudani na sio hayo mnayo yasema!! Pigeni burn Video za mbeleeee zote!!! Maana asilimia kubwa hata media zetu zinarusha sana video za mbeleee kwa mda mrefu!!! Huwezi kuleta maadili kwa njia hiyoooo!!!!
 
Back
Top Bottom