essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
bila shaka hatakua dalali muigizaji huyo,,kacheza movie nying sana za kanumbaMimi hapa mtaani, Kuna jamaa alikuwa dalali baada akaingia bongo movie huku akiendelea na udalali wake sasa miaka kama minne sijamsikia, sasa juzi ndio nambiwa ana kanisa kimanga na yy anakula vichwa na hali si mbaya anausafiri wa ukweli.
Malizia lazima uhudhrurie na hela zote ulizoingiza wiki nzima.Hebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele
Waimbaji ni Vanessa, Dayna, ruby na jux
Wanakusanyaji wa sadaki ni weusi
Mchungaji msaidizi ni diamond
Wapigaji wa vyombo barnaba, ben paul na belle 9
Kisha mzee wa kanisa ni Alikiba
Mzee wa kanisa msaidizi ni Ommy dimpoz
Wakaribishaji wa wageni ni wema, Nandy, wolper, Tunda, Hamisa
Kisha wanaopiga beat za nyimbo ni dj fetty, zero
Na mchovu ndio kiongozi wa ratiba ya kanisa
Wewe lazima kila jpili uhuzulie church tu
Karibu ECG arusha kwa Mtalemwa upate upako... Huko hakuna kubanianaHebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele
Waimbaji ni Vanessa, Dayna, ruby na jux
Wanakusanyaji wa sadaki ni weusi
Mchungaji msaidizi ni diamond
Wapigaji wa vyombo barnaba, ben paul na belle 9
Kisha mzee wa kanisa ni Alikiba
Mzee wa kanisa msaidizi ni Ommy dimpoz
Wakaribishaji wa wageni ni wema, Nandy, wolper, Tunda, Hamisa
Kisha wanaopiga beat za nyimbo ni dj fetty, zero
Na mchovu ndio kiongozi wa ratiba ya kanisa
Wewe lazima kila jpili uhuzulie church tu
Mkuu aende clinic kwa kutaka kufanya biashara ya kanisa?!Hivi huyu jamaa ameacha kuhudhuria kliniki yake ya magonjwa ya akili??
Punguza jazba.Makalio yake, Mpumbavu huyu! Anatafuta KIKI kwa kukashifu imani za watu!
Mbona hasemi kuwa atajenga msikiti?
Na ndio maana anataka afungue kama source ya income sio kwa imani kama unavyofikiria wwKuna Siku hyo ney alihojiwa na redio moja anasema hamini kwenye mambo ya dini wala kanisa
Ova
Atapiga Collabo na Masanja.Anajenga kanisa kwakuwa ni biashara inayolipa?
Na ni yeye ndiye atakayeongoza ibada kama Mchungaji au ataajiri mtu wa kazi hiyo?
Watch out Lusekelo & Gwajima.. hii investment ya Ney ni threat nyingine kwenu.
Inawezekana na ni sahihi kabisa coz wale ni binadam pia sio mashetani kwa nini unakuwa na dautHebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele
Waimbaji ni Vanessa, Dayna, ruby na jux
Wanakusanyaji wa sadaki ni weusi
Mchungaji msaidizi ni diamond
Wapigaji wa vyombo barnaba, ben paul na belle 9
Kisha mzee wa kanisa ni Alikiba
Mzee wa kanisa msaidizi ni Ommy dimpoz
Wakaribishaji wa wageni ni wema, Nandy, wolper, Tunda, Hamisa
Kisha wanaopiga beat za nyimbo ni dj fetty, zero
Na mchovu ndio kiongozi wa ratiba ya kanisa
Wewe lazima kila jpili uhuzulie church tu
Okkk nmekuelewa mkuuNa ndio maana anataka afungue kama source ya income sio kwa imani kama unavyofikiria ww
Kweli kabisa chiefHuyu jamaa kiukweli huwa ni mshamba sanaa
Halafu dizain kama huwa anaforce fame.
Jambo fulani likiongelewa na mtu huwa linapokelewa tofauti sana na mtu mwenyewe alivyomaanishaNEY NINAKUONGEZA KWA LIST YA WATU WALIO KUMDHIAKI MUNGU, SUBIRI MATOKEO
Kwahiyo msikiti kutokulipa, ndio hitimisho kuwa dini ya kikristo ni Biashara?Punguza jazba.
Msikitini haulipi hapa mjini.
kuna shekh yoyote unayemjua mwenye ukwasi wa Gwajima au mzee wa upako?!
kila mtu anataka kufanya biashara yenye faida
Kanisa liwe la uhongo hakuna mwenye mamlaka ya kusema hivo, MUNGU ni ajabu sana kama ukitafuta habar zakeJambo fulani likiongelewa na mtu huwa linapokelewa tofauti sana na mtu mwenyewe alivyomaanisha
Ney ni kama analaani kitendo cha ongezeko la makanisa ndio maana anasema haamini katika hayo
Na kwa hali hiyo anaona ni kama biashara nyingine tu
Kwa hiyo hata yeye anafikiria kuifanya
Sijaona alipo dhihaki ila inaonekana ana imani ila anaona imeingiliwa
Mawazo kama haya ni machukizo mbele Mungu ndo mana ndo mana tunakosa mvua ebu soma yeremia 3:2-3Hebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele
Waimbaji ni Vanessa, Dayna, ruby na jux
Wanakusanyaji wa sadaki ni weusi
Mchungaji msaidizi ni diamond
Wapigaji wa vyombo barnaba, ben paul na belle 9
Kisha mzee wa kanisa ni Alikiba
Mzee wa kanisa msaidizi ni Ommy dimpoz
Wakaribishaji wa wageni ni wema, Nandy, wolper, Tunda, Hamisa
Kisha wanaopiga beat za nyimbo ni dj fetty, zero
Na mchovu ndio kiongozi wa ratiba ya kanisa
Wewe lazima kila jpili uhuzulie church tu
Hilo jibu.Kwahiyo msikiti kutokulipa, ndio hitimisho kuwa dini ya kikristo ni Biashara?