Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF.

Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge.

Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu.

Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama ambao mara nyingi wamekuwa wakilalamikia ubinafsi wa viongozi wakuu.

Chadema [Dr Slaa, Zito, Msigwa, n.k]
EFF [Floyd, Dali Mpofu na sasa Dr Ndlozi inasemekana muda wowote atajiunga na MK Chama cha aliyekuwa Rais Mr Jacob Zuma .

Makubwa yanayolalamikiwa ndani ya vyama vyote viwili yanafanana na viongozi wakuu [Malema na Mbowe] semantically wamekuwa na majibu yanayofanana.


Swali ni je, walishindwa kujua wakati sahihi wa kushuka stejini hadi kuikera hadhira?
 
Kwenye siasa kuna maslahi na ni kazi za watu..

Hizi bla bla za kukomboa wananchi ni punchline tu..😂
 
Back
Top Bottom