Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje
wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
huyu anejiita ney hiv hamuogopi hata mungu anawakashifu viongozi waliochaguliwa na mungu hasa huyu G.Wakatale.
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje
wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
mzee wivuutakuua kaka.Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
unaogopa sababu kafa anasema ukweli wake.are u serious?
kwanza mungu siku hizi anapiga kura na uchaguzi umeisha lini.Hilo la kuchaguliwa na Mungu ni lako wewe