Msanii Nyota Ndogo afunga ndoa na Mwanaume wa Kizungu

Kwani huyu anaundugu na Mrisho Mpoto?
 
Labda ndipo ilipo furaha yake.... We never know
 
Hilo tabasamu la kwake au amelazimishwa.?
 
Hongera kwake ila make up ni kiroja,nadhani angevaa a simple white gown na a little makeup angependeza zaidi,
Hilo lemba, henna lohhh...
 
N
Rangi ya ngozi, rangi ya gauni, piko, make up.... Amekua kama mganga wa kienyeji
Hongera zake kwa kufunga ndoa
naona bado lami tu ndio hajaweka, unashangaa mtu anatumia pesa nyingi wakati anakua hapendezi, wapambe wake sijui wako wapi?
 
Hyo mi piko na hzo zang nmemuaribu uzur wake wote
 
Shikamoo Nyota ndogo ............. maana Mzungu akipitia sister wako basi jua hakuna njia inayoachwa salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…