[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nenda jela mwezi tu halafu SHETANI akutoe. Utachora tatoo yake katikati ya paji la uso uandike kabisa Baby Shetani. Jela kubaya jamani, tuliotembelea mahabusu tunakujua kule. Unapopata dhamana unatamani uvue nguo ukimbie uchi sembuse kuachiwa kifungo cha maisha.
kwani kabaka mwanao ?dhambi ya kubaka watoto itamtafuna milele
si kafanana na wew ao una Mungu wako nayeye wake ?HIVI HAWA HUWA NI WATANZANIA?
machadema kwa ubora waoBADO HAIMUONDOLEI KASHFA YA KULAWITI WATOTO
BADO HAIMUONDOLEI KOSA LA UBAKAJI NA ULAWITI. LETA HOJA INGINEmachadema kwa ubora wao
SureLazima ajichore alipomtoa angeendelea kusota huko
ndio maana hajaq YYUngekuwa wewe ungefanyaje
Usingelipa Fadhila?