Msanii Papii Kocha Ajichora 'Tatoo' Ya JPM

Msanii Papii Kocha Ajichora 'Tatoo' Ya JPM

Nikajua ameokoka kumbe bado anamfuata nyuma shetani...!
 
Bavicha mtamchukia tu ila jela sio shule, LAZIMA amshukuru sana JPM haswa kwa kosa ambalo "walitenda", kuwepo tena huru uraiani ni miujiza.
 
Mwacheni amuone kama mwokozi wake kufia jela kwa kijana kama huyu ni kuzika ndoto.Acheni kuwaza siasa kila mahari kaokolewa alishakata tamaa dogo.HUYO MNAEDAIA KAYAKAZA MA VYUMA NDO KAYAFUNGUA KWAKE SASA KINAWAUMA NINI.
 
IMG-20180102-WA0000%7E2.jpg
 
Achore kwenye mb** alolawitia bado hatushuhulish kifup hawatakaa warud kwenye mstar
 
Nenda jela mwezi tu halafu SHETANI akutoe. Utachora tatoo yake katikati ya paji la uso uandike kabisa Baby Shetani. Jela kubaya jamani, tuliotembelea mahabusu tunakujua kule. Unapopata dhamana unatamani uvue nguo ukimbie uchi sembuse kuachiwa kifungo cha maisha.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kama kawa Sela za chadema ni kupinga kila kitu na matusi makali .. basi walio kuwa wanamtetea walikuwa ni machadema sasa wana mchukia ile mbaya
 
Haimwondolei dhambi ya ubakaji na ulawiti
 
Wanangu NYUMBU awakubali hata kidogo. Wakotayari kumwandika ENL au FAM. Wezi wa kubwa wa nchi
 
Back
Top Bottom