Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Jan 25, 2012 #41 marejesho said: yaani hata mimi nimebaki nashangaa huo wimbo!!relax, relax ndio kinachosikika!! Naona kavaa tshirt yenye maandishi relax!! Click to expand... sikuamini ma cho yangu sikutegemea kama atakuwa vile kumbe unene si ishu eeh
marejesho said: yaani hata mimi nimebaki nashangaa huo wimbo!!relax, relax ndio kinachosikika!! Naona kavaa tshirt yenye maandishi relax!! Click to expand... sikuamini ma cho yangu sikutegemea kama atakuwa vile kumbe unene si ishu eeh
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Jan 25, 2012 #42 Tusker Bariiiidi said: Anafanana na ZAHIR ALLY ZORRO... alivyo sasa... Click to expand... TEHETEHE sasa ki vipi!? kubeba ndoo or upana?
Tusker Bariiiidi said: Anafanana na ZAHIR ALLY ZORRO... alivyo sasa... Click to expand... TEHETEHE sasa ki vipi!? kubeba ndoo or upana?
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 673 Jan 25, 2012 #43 Hizo zingine sawa wakuu....lakini hii ya kutengenezana nywele hapo ndo kidogo haijakaa vizuri...hiyo ni kazi ya akina mama tuu. amezidisha sasa hata ile maana na uhalisia wa kusaidiana kazi za nyumbani umepoteza maana
Hizo zingine sawa wakuu....lakini hii ya kutengenezana nywele hapo ndo kidogo haijakaa vizuri...hiyo ni kazi ya akina mama tuu. amezidisha sasa hata ile maana na uhalisia wa kusaidiana kazi za nyumbani umepoteza maana
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Jan 25, 2012 #44 picha linaendelea....