Msanii PETER MSECHU anateka maji na kupika?

Msanii PETER MSECHU anateka maji na kupika?

yaani hata mimi nimebaki nashangaa huo wimbo!!relax, relax ndio kinachosikika!!
Naona kavaa tshirt yenye maandishi relax!!

sikuamini ma cho yangu
sikutegemea kama
atakuwa vile
kumbe unene si ishu eeh
 
Hizo zingine sawa wakuu....lakini hii ya kutengenezana nywele hapo ndo kidogo haijakaa vizuri...hiyo ni kazi ya akina mama tuu. amezidisha sasa hata ile maana na uhalisia wa kusaidiana kazi za nyumbani umepoteza maana
 
Back
Top Bottom