Msanii Q Jay wa wakali kwanza kurudi tena kwenye game

Msanii Q Jay wa wakali kwanza kurudi tena kwenye game

Hahahaaa mwenzie makamua sijui yuko wapi awajamaa walikua hatari warudi tu bado hawajachelewa mbona mwenzao Alishushwa kibakuli kaamua kukaza na anapata vishoo Qj ukitaka kurudi fasta unda bifu kwa diamond lazima ujulikane we telezea nyota ya mond tu kama Alishushwa kibakuli uone utavorudi fasta.
 
Siku hizi ukishapotea ni umepotea,hata urudi na ngoma kali kiasi gani watu hawakuelewi
 
mh sizani kama ataweza kustep up tena kwenye game, lakn labda aanze kwa kukaa kwnye chorus za watu mbalimbali mfano darasa, kina joh, na wanahiphop wengne lakn pia apge colabo hata mbili tatu na akaze kweli mfano colabo na barnaba, benpol, baraka, kiba, harmonize, rayvany etc, hii itafanya jamii impoke kwa utaratibu mzur withn the brain na kupata shauku ya kumskia sasa akifanya ngoma as yeye kama yeye! over
 
Back
Top Bottom