mh sizani kama ataweza kustep up tena kwenye game, lakn labda aanze kwa kukaa kwnye chorus za watu mbalimbali mfano darasa, kina joh, na wanahiphop wengne lakn pia apge colabo hata mbili tatu na akaze kweli mfano colabo na barnaba, benpol, baraka, kiba, harmonize, rayvany etc, hii itafanya jamii impoke kwa utaratibu mzur withn the brain na kupata shauku ya kumskia sasa akifanya ngoma as yeye kama yeye! over