Tetesi: Msanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB

Tetesi: Msanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB

Yap WANtEd86 wakichukua Young D au Mr Blue au msanii yeyote wa aina hiyo ntawapongeza, hao ni aina ya wasanii walio flexible, Chid Benz naye ni mashine ila kwa lifestyle yake naona hana jipya kwenye mziki coz ashaharibikiwa, Young Killer sioni kama anafit kuwa kibiashara, anastyle ya aina moja na kurap na kuandika
 
Wamsaini Ray C na Shilole wawe Queens of WCB
 
Toka lini Mayoniza na dogo Raymond walikuwa wakubwa?? Ulikuwa hata unawajua kabla ya kuanzishwa wcb??
Watu wengine ni wa kuwapuuza tu! Asiyeifahamu potential ya Chidi Benz anatakiwa kutafakari mara mbili!! Ingawaje alishakuwaga drug addict; am sure pale WCB ata-settle na kufanya mambo makubwa sana.
 
Hili kundi litakuja kupata mpasuko mkubwa mnoo...litakuja kusambaratikia mbali!!
WCB sio kundi bali ni record label... ni business entity! Watu wanaingia na wengine watatoka ingawaje sio kienyeji kama unavyodhani cuz' mikataba ya record labels ni shwaini na kandamizi... inamfunga sana msanii!!
 
Watu wanachoshindwa kuelewa hapa ni kwamba WCB ni record lebel, na kujiunga na lebel ni tofauti sana na kujiunga na bendi kama Twanga Pepeta. Ndio maana watu wanakuja na mawazo kwamba hili kundi litasambaratika soon, kwani nani kawaambia wao ni kundi?
 
Honestly sion chemistry ya Chidd na WCB,
Hata hivyo sina hakika na hii habari.Na mwisho kabisa,sina mashaka na uongoz wa WCB.Hawaez fanya kitu kwa hasara
 
Wamemchukua tu kwa huruma zao hakuna kitu pale labda young kila
 
kwa akili ileee, ya mtu yuleee, ndani ya lebo ileee,vsina imani kabisa na muunganiko uleee.... anyway ndo muda wa kuwaacha walalee, au movie iendelee....
 
Hizi habari huenda zinalenga kuchochea Chid afikiriwe.Ngoja niweke akiba ya maneno
 
Hii ni moja kati ya hatua njema kabisa ya kukuza Lebo ya WCB. Kujumuisha wanamuziki wa aina tofauti kabisa ya muziki kutaleta msisimko mwingine wa ziada.

Nashauri waongeze wanamuziki wengine kutoka aina tofauti ya muziki kama vile Taarabu, Singeli n.k.
Kwenye singeli hapo umenigusa, natamani sana huu mziki upate kuonekana na hao wengine.. Tanzania huwa tunakuwa na vitu kuntu lakn tunafaidi wenyewe, bila ya dunia kujua ubunifu wetu, kibega, kiduku n.k.. WenEtu na shoki, azonto n.k wanatoboa.
 
Back
Top Bottom