Watu wengine ni wa kuwapuuza tu! Asiyeifahamu potential ya Chidi Benz anatakiwa kutafakari mara mbili!! Ingawaje alishakuwaga drug addict; am sure pale WCB ata-settle na kufanya mambo makubwa sana.Toka lini Mayoniza na dogo Raymond walikuwa wakubwa?? Ulikuwa hata unawajua kabla ya kuanzishwa wcb??
WCB sio kundi bali ni record label... ni business entity! Watu wanaingia na wengine watatoka ingawaje sio kienyeji kama unavyodhani cuz' mikataba ya record labels ni shwaini na kandamizi... inamfunga sana msanii!!Hili kundi litakuja kupata mpasuko mkubwa mnoo...litakuja kusambaratikia mbali!!
Chidi Benz amekuwa akim-respect Diamond kitambo sana seuze akishakuwa chini yake!! Isitoshe, Chidi sio mshari kihivyo.Nina wasiwasi mkubwa na nidhamu ya Chidi Benz
Rapa wa WCB ni Young Kilah anasubiri kutambulishwa tu.
Umefanyaje? Teh teh teh tehJudi upaja huo jamani
Wcb sio kundi, WCB ni leboHili kundi litakuja kupata mpasuko mkubwa mnoo...litakuja kusambaratikia mbali!!
Umefanyaje? Teh teh teh teh
Kwenye singeli hapo umenigusa, natamani sana huu mziki upate kuonekana na hao wengine.. Tanzania huwa tunakuwa na vitu kuntu lakn tunafaidi wenyewe, bila ya dunia kujua ubunifu wetu, kibega, kiduku n.k.. WenEtu na shoki, azonto n.k wanatoboa.Hii ni moja kati ya hatua njema kabisa ya kukuza Lebo ya WCB. Kujumuisha wanamuziki wa aina tofauti kabisa ya muziki kutaleta msisimko mwingine wa ziada.
Nashauri waongeze wanamuziki wengine kutoka aina tofauti ya muziki kama vile Taarabu, Singeli n.k.