Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

Jaman kwann huyu dada, inauma sana sio cr
 
Inaonekana ashazoea niangusage.."
anapodai wanaume wote hawa"
 
aisee.. sasa hv watu wanajipigia tu huyo bidada.. pole yake
 
Duuuh uyu ndo basi tena sikio la kufa. Mbona hivyo RayC jmn
 
Inaonekana ashazoea niangusage.."
anapodai wanaume wote hawa"
ooh my God na itakuwa wale waliomtamani enzi zake wajati yupo njema ktk swala la muziki ndio wanamfanyia hivyo...
 
We kituko kweli... tangu lini kichaa akaombewa.!!? Peleka mirembe akadungwe sindano...
 
Makonda_RC na Ally_DC,na Ruge wazichange wampeleke kwy matibabu,Mungu ni mwema atapata ahueni!!Watu wengi wanahitaji misaada mbalimbali ila inshu ya unga ni jambo jingine kabisa,ila sielewei kwa nn alirudia tena dah! Nao wanaoyauza na punda ndio wanasanii hao hao watajane na wachuliwe hatua.Tutabakia kulalamika mpaka lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…