Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Damn Right!Hiyo ni tuzo ama kapewa Certificate...!?
Tuweke sawa hapa.
Mbona harmonize hajawahi kupewa na ana subscribers wengi zaidi?Ukifikisha idadi flani ya subscribers unapewa hizo buttons kama recognition kutoka youtube. Hazina kupiga kura wala kuchaguliwa.
Niliona kama wcb anaenda kupotea kumbe ndo anaenda kutoboa...dah,safi sana dogo Diamond kwa kuwapa maisha wenzio