Msanii Ray Vanny kutoka WCB apewa tuzo na YouTube

Msanii Ray Vanny kutoka WCB apewa tuzo na YouTube

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Hitmaker wa Makulusa, Rayvanny aliyesainiwa kwenye label ya WCB-Wasafi iliyo chini ya Diamond Platnumz, amepatiwa tuzo na YouTube.

79238c498d12675af312a191ccc3a297.jpg


Na hawa ni baadhi ya mastaa duniani waliopewa tuzo na YouTube na sasa leo hii tumeshuhudia kwa Ray Vanny.

7a8964e631335d40fd3331f3dccccca6.jpg


Nawasilisha..
 
Ukifikisha idadi flani ya subscribers unapewa hizo buttons kama recognition kutoka youtube. Hazina kupiga kura wala kuchaguliwa.
Mbona harmonize hajawahi kupewa na ana subscribers wengi zaidi?
 
Niliona kama wcb anaenda kupotea kumbe ndo anaenda kutoboa...dah,safi sana dogo Diamond kwa kuwapa maisha wenzio
 
Acha upuuzi hiyo sio Tuzo....iko ni cheti.
 
Hiyo ni tuzo? Heb fanya namna kidogo kwenye hiyo mada
 
Award nini jamani.... maana hata vyeti pia huwa awarded labda kama nakosea ktk hili...
 
hata hicho cheti bado sikiamini naona kama magumashi ya kutafuta kiki nasubiri ipite kama wiki kwanza afu nitasadiki
 
Back
Top Bottom