Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa Rayvan kumkatia Behewa Rayvan huko Instagram yaan Mama Dangote kumunfollow Rayvan, Zikaja Event zote kubwa za wasafi Ikiwepo EP ya FOA kutopostiwa na kijana huyo Shaban Mwakyusa Almaarufu kama Rayvan na Leo hii kaamua kukata Behewa kwenye Bio yake na kuondoa Taarifa iliyokuwa ikimtambulisha kama msanii wawasafi.

Nawakilisha.

Screenshot_20220417-215224.jpg
 
Ray sio wakati sahihi wa kutoka Wasafi, record/label yako ni changa bado, sifuatilii mambo ila najua una msanii mmoja Macvoice ungetambulisha wasanii wengine hata wawili kabla ya ku move on from Wasafi, ila upande mwingine una kipaji mkuu, unaweza kwenda solo pia
 
Wasiwasi ndio akili, hata kama vanny boy bado yupo WCB lakini kuna vitu havipo sawa baina yake na uongozi wa WCB hususani platnumz mwenyewe.

If you're keen enough unaweza kuona wazi ile support na attention kubwa ya platnumz imeegemea kwa Zuchu ule ushikaji wa mondi na vanny unazidi kudorora kwa kasi ya 5G.
 
Vanny kasepa wasafi mda Sana , mwaka umepita sasa , na kaondoka kiroho safi tuuu, zilizofanyika ni hatuna tuu ili isilete mzozo, hyo ya kutopata support kama wasanii wengine ni lazima iwepo mana siyo part of the family , mtoto akijitegemea mzazi hawezi mhangaikia Sawa Sawa na watoto wengine waliopo home ....!!
 
Back
Top Bottom