Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Hapana ni 60/40 ... Ni fair ratio , sema Sisi wabongo ukishaanza kuingiza unaona kama boss anazingua , anakunyonya , hujui pesa alizowekeza mpak anakufikisha hapo, make alikuwa anacheza kamali , tushukru umetusua habari gani kama ungeflop.. hasara ingemwangukia Nan....!!!
Ruge hamkumtetea hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama yupo hai inatosha.

Maisha siyo lazima kuwa Wasafi.
 
Ruge hamkumtetea hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruge hakuweka hata shilingi kumi kwa Mondi, Mondi akiendaga THT akafukuzwa na kuambiwa hajui kuimba, aliyewekeza hela yake ni papa Misifa na Mondi alipofunja mkataba kwa mujibu wa Papa Misifa alimlipa 50mil kama faini ya kuvunja mkataba.

Huusiano wa Diamond na Ruge ni kama Msanii na promota.
 
Back
Top Bottom