scopion de moon
Member
- Sep 2, 2021
- 17
- 10
Lavalav Hana uhakika na kaz anayoifanyJamaa mbona anatoa hit na zinaenda sana kama vile Gogaga, Niuwe, Anatosha, kilio, Dede, na ile Bora tuachane mbona zilienda sana wazee mitaani zilipigwa kama mbege ya mmarango vipi nyie huko kwenu hamkucheza Gogaga?