incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Ngoja tumpe mdaNaona anatafuta kupotea kabsa kwenye ramani.
Hana uwezo wa kuhimili mikiki ya Muziki akiwa peke yake.
Wacha waje hatuwaogopiSubiri wenye timu yao wafike!!
Halafu yanaendaje? 🤣😊yanaanzaga hv hv.
Nahisi sababu mingi iko kinyonyaji 😊Nachojua Kwenye Mambo Haya Ya Label Hakunaga Kitu Kinachoitwa Kuondoka Kwa Amani [emoji4]