C chokodari JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,380 Reaction score 1,191 Apr 21, 2022 #121 Mzee Wa Kazi Chafu said: Harmonize Ameanza Kuzidiwa Na Rayvanny Mambo Ya Subscribers, Views Hata Mauzo Baada Tu Ya Kutoka Wasafi. Click to expand... Tangu yupo pale rayvan alikuwa anamzidi mbali sanaa kama hujui, na alivyotoka wcb ndipo wasiompenda diamond wakajiunga wakambwaga alikiba ili wamsapoti harmonize na ndipo alipoinuka kiaina na alikiba kushukaa kazi kwako
Mzee Wa Kazi Chafu said: Harmonize Ameanza Kuzidiwa Na Rayvanny Mambo Ya Subscribers, Views Hata Mauzo Baada Tu Ya Kutoka Wasafi. Click to expand... Tangu yupo pale rayvan alikuwa anamzidi mbali sanaa kama hujui, na alivyotoka wcb ndipo wasiompenda diamond wakajiunga wakambwaga alikiba ili wamsapoti harmonize na ndipo alipoinuka kiaina na alikiba kushukaa kazi kwako