Tangu yupo pale rayvan alikuwa anamzidi mbali sanaa kama hujui, na alivyotoka wcb ndipo wasiompenda diamond wakajiunga wakambwaga alikiba ili wamsapoti harmonize na ndipo alipoinuka kiaina na alikiba kushukaa kazi kwakoHarmonize Ameanza Kuzidiwa Na Rayvanny Mambo Ya Subscribers, Views Hata Mauzo Baada Tu Ya Kutoka Wasafi.