nimemsikiliza pia jana nikaona kumbe kweli huyu mtu hana akili. Hajui kujieleza yani ujinga mtupu na sidhani hata kama alikua anajua kuwa kipindi kitaonekana hata na wazazi wake.
Hata kama anapenda ngozi nyeupe pale hapakua mahali sahihi kusema vile yaonyesha jinsi iq yake inavyosoma zero.
Mara 5 ndio maana hakana afyaaa
Kamenenepa sasa shoga.Ila huo mkorogo ni aibu!Sijui nani hua anawadanganya wanapendeza wakijichubua.
Wakati alikua anapendeza ile rangi yake lo ni sawa na Ray C ashakua jini jini tafranii
kajichora vitatoo kwenye mapaja na vipaja vyenyewe kama njiwa alielowa maji. Simshangai labda kweli wanaume wa kibongo hawavutiwi nae sa kujifariji ndo anasema ye anataka wazungu tu. Soon mtaskia anaolewa na kibabu cha kizungu