Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

miss lucy

Senior Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
109
Reaction score
15
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.

Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe

Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.
 
Sasa huo si uchangudoa anasikitIsha MUNGU amsaidie.
 
Mara tano kwa siku..... Ratiba hii
 
MMM mara 5 kwa siku na kila moja lina dakika ngapi? anatuchosha huyu au ndio biashara matangazo.
 
Nimemsikiliza pia jana nikaona kumbe kweli huyu mtu hana akili. Hajui kujieleza yani ujinga mtupu na sidhani hata kama alikua anajua kuwa kipindi kitaonekana hata na wazazi wake.

Hata kama anapenda ngozi nyeupe pale hapakua mahali sahihi kusema vile yaonyesha jinsi iq yake inavyosoma zero.
 
nimemsikiliza pia jana nikaona kumbe kweli huyu mtu hana akili. Hajui kujieleza yani ujinga mtupu na sidhani hata kama alikua anajua kuwa kipindi kitaonekana hata na wazazi wake.

Hata kama anapenda ngozi nyeupe pale hapakua mahali sahihi kusema vile yaonyesha jinsi iq yake inavyosoma zero.

Umemaliza yote niliyotaka kuyasema.Kama nisingesoma hii comment yako ningesema hivihivi. Recho ana IQ ndogo sana.Hawezi kujieleza,akiulizwa hivi anajibu vile...hana uchangamfu yaani huenjoy kuangalia interview yake.

Pia hana swaga kabisaaaa,anaongea kama kibibi gani sijui... Ah, nisiseme sana nitaonekana hater bure.
 
Kamenenepa sasa shoga.Ila huo mkorogo ni aibu!Sijui nani hua anawadanganya wanapendeza wakijichubua.

Wakati alikua anapendeza ile rangi yake lo ni sawa ma Ray C ashakua jini jini tafranii
 
Wakati alikua anapendeza ile rangi yake lo ni sawa na Ray C ashakua jini jini tafranii

Sasa ndio anaelekea kule kule kwa Ray C wa sasa.Yaani kanenepa hatariii na huo mkorogo sasa sijui umedunda?Maana alikua anang'aa kipindi fulani.
 
Kajichora vitatoo kwenye mapaja na vipaja vyenyewe kama njiwa alielowa maji. Simshangai labda kweli wanaume wa kibongo hawavutiwi nae sa kujifariji ndo anasema ye anataka wazungu tu. Soon mtaskia anaolewa na kibabu cha kizungu.
 
kajichora vitatoo kwenye mapaja na vipaja vyenyewe kama njiwa alielowa maji. Simshangai labda kweli wanaume wa kibongo hawavutiwi nae sa kujifariji ndo anasema ye anataka wazungu tu. Soon mtaskia anaolewa na kibabu cha kizungu

Hahahahaaaa...

Yule anajishaua tu.Tena hao wanaume weupe anajipendekeza kwao wanamchezea na kumuacha.Nimewahi kuona akifanya hivyo kwa jamaa fulani akaishia kuachwa tu.

Tena nasikia mchafu sana...lol
 
Back
Top Bottom