Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
nimemsikiliza pia jana nikaona kumbe kweli huyu mtu hana akili. Hajui kujieleza yani ujinga mtupu na sidhani hata kama alikua anajua kuwa kipindi kitaonekana hata na wazazi wake.
Hata kama anapenda ngozi nyeupe pale hapakua mahali sahihi kusema vile yaonyesha jinsi iq yake inavyosoma zero.
Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!

Hahahahaaaa dah leo umenichekesha sana.Hata hivyo nilikua sijui kama ni darasa la saba.
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.
Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe
Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.

Mara tano kwa siku!! Shkamoo rachel...wewe utakuwa jini mahaba sio bure
Ana ashki majinuniii
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.
Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe
Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.
Kwani TID ni mzungu?
Ndio maana anakuwa legelege kama mrenda kumbe muda wote ana genye...hii ni adhabu!!
Yaan mara 5 anatumia ky ninii,,,nyege gani hizooo
Mshindostiii....inabidi tutumie iyo njia kama diet! Sasa inakuwaje nna ujauzito nafanyaje sasa...
Una ujazito?
Pamenipitya hapo mwaego niume sikio kidogoHujasikia tyuuuu! Nawewe shogaaa....haaa! Yule shoga wa stress mjamzito nmeona mahali....mwenye matako kama skonzi
Pamenipitya hapo mwaego niume sikio kidogo