Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

nimemsikiliza pia jana nikaona kumbe kweli huyu mtu hana akili. Hajui kujieleza yani ujinga mtupu na sidhani hata kama alikua anajua kuwa kipindi kitaonekana hata na wazazi wake.

Hata kama anapenda ngozi nyeupe pale hapakua mahali sahihi kusema vile yaonyesha jinsi iq yake inavyosoma zero.

Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!
 
Labda ndio wale wale
"Wanatoroka na wazungu, Wanamegwa na vibabu, Wanaiba waume wa wenzao uso mkavu hawana aibu"--Mwana FA
 
Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!

Sasa ukampotezea kisa tu hajui kiinglishi, kwa hiyo kiswahili hakina mpango ?....mmmh, sasa mwatofautiana naye nini anaposema hapendi wabongo/waswahili anapenda ngozi nyeupe.
 
Vp nilisikia tetesi za mnyama kumsumbua cjui ilifikia wapi ,mwenzake frola mbasha kavunja ukimya kazaa
 
Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!

Hahahahaaaa dah leo umenichekesha sana.Hata hivyo nilikua sijui kama ni darasa la saba.
 
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.

Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe

Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.

kila mtu anajua kua wazungu na waarabu ndio mafirauni wakubwa duniani so sishangai recho kwa nini anapenda kusex na hao viumbe.
 
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.

Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe

Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.

TID Mnyama a.k.a Warioba kala mzigo pale na inasemekana alishaanza kumvutisha hadi unga
 
Mara tano kwa siku!! Shkamoo rachel...wewe utakuwa jini mahaba sio bure
 
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.

Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe

Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.

Kwani TID ni mzungu?
 
Back
Top Bottom