Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Hahahahaaaa...

Yule anajishaua tu.Tena hao wanaume weupe anajipendekeza kwao wanamchezea na kumuacha.Nimewahi kuona akifanya hivyo kwa jamaa fulani akaishia kuachwa tu.

Tena nasikia mchafu sana...lol

Yaan mchafu kwa umalaya au uchafu huu Wa kuoga na kujiweka safi yeye kama yeye
 



Nilisikia anatoka na yule mwanamziki alieimba "mida ya kazi" (jina nimemsahau)!
 
TID mnyama si nilisikia alikuwa anapiga huu mzigo, huyu nae mzungu?
 
Mimi nilitazama kipindi hicho cha spora show juzi,aisee huyu dada ni ndondocha.
 
Hahaaaa!!mi mwenye mmoja wao nimehama mie makopa kopa tu inahusu udaku ndo habare ya town kimeo changu kimepona bajiashuajeeee???

Hahahaaaaa hakuna ubaya mwaya,ila inakera kuona watu wanajigamba kua hawapendi udaku halafu wamehamishia makazi humu!

Umeona eeh?....na kweli sijakuona muda humu.
 
Hahahaaaaa hakuna ubaya mwaya,ila inakera kuona watu wanajigamba kua hawapendi udaku halafu wamehamishia makazi humu!

Umeona eeh?....na kweli sijakuona muda humu.

Hhhhhaaaaaaaaaaa ni sheeeeederrrrrrrrrrrr
 
Ili uwe supastaa bongo lazima uwe na IQ ndogo.haka kabibi ni sample
 
Mh!!!! wahindi.....waarabu...?? maskini weeeee jamani Recho tayari mtandao wake wa ''tigo'' utakuwa na problem. Hawa jamaa uwa wanasodomise tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…