Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Anhaaaaaaa......hapo sawaaaaa!!!
Hahahahahaha pole Shoga angu, me mwenyewe nisingeshtuka Kama usingesema wote wawili Ni wajawazito. Afu sidhani Kama mimba ndo ingemfanya mange awe na deep mawazuuuu, nafikiri Ana tatizo kubwa linamsumbua
 
Basi sawaa...nlivoona hotties in media wametajwa wee I ddnt even care kuangalia thread ya mwaka ganii...nkamwita na mmbeya mwenzangu.....loo.haya basiii
 
Basi sawaa...nlivoona hotties in media wametajwa wee I ddnt even care kuangalia thread ya mwaka ganii...nkamwita na mmbeya mwenzangu.....loo.haya basiii

Yaani unaniua mbavu zangu, jinsi gani unavyopenda umbea hata hukujishughulisha kuangalia thread ya mwaka gani, hahahahahahaha
 
Kwani weusi tu ndo wakawaida?. aseme tu hana soko.kweli ana akili ndogo
 
niliona aibu kumtizama na kusikiliza upmbav aliokuwa anazungumza
 
Hahahahaaaa...

Yule anajishaua tu.Tena hao wanaume weupe anajipendekeza kwao wanamchezea na kumuacha.Nimewahi kuona akifanya hivyo kwa jamaa fulani akaishia kuachwa tu.

Tena nasikia mchafu sana...lol
Uchafu gani?...
 
Back
Top Bottom