Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano.

Sijawahi kufanya mapenzi na mtu wa kawaida yaani watu weusi kwa rangi mimi napenda sana Wazungu, Wahindi,Waarabu hasa rangi nyeupe

Swali kama kuna mtu anaushahidi kama recho alishawahi toka na nani.

  • Kwenye nyekundu hapo anamaanisha yeye ni malaya ndio maana hahitaji kuwa na mpenzi ila anafanya mapenzi hata mara tano kwa siku.
  • Kwenye bluu anamaanisha kuwa katika umalaya wake, anapenda kujiuza kwa wazungu kwa sababu hao wanampa dollars za kutosha na hamshughulishi sana kama weusi ndio maana anaweza kufanya hata mara tano kwa siku na asichoke.
 
binafsi nimemuona kituko..na lugha ya kingreza naona imemkalia mbali sana-maswali aliyokuwa anaulizwa kwa kingreza na flora niliona haelewi maana alichokuwa anajibu ni tofauti na swali aliloulizwa..poor recho na wahindi wako wajinga
 
Mara tano kwa siku?Anapenda kudo sana?Na yeye sio malaya?Anapenda wazungu,warabu nk.
Ngoja tuzikusanye then ni GUGO uzuri GUGO inasema huyo wa type gani tuu:heh::heh:.
Kweli THT shule ya kukuza vipaji Ruge anavumbua aaahhh.
 
Back
Top Bottom