Msanii Rick Ross wa Marekani aliyempongeza Samia wiki iliyopita leo kakamatwa na polisi kwa unyanyasaji

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kwanini Samia anaji associate na watu wenye tabia za hovyo aina hii, it is not wealth kwa mtu anayekalia ofisi kubwa yenye heshima kama ikulu kuhusishwa na wavuta bangi.

Lucas Mwashambwa stop this nonsense.

HTjllwaXoAAl0VU.jpg
 
Umeshasema ni Tuhuma

na Tuhuma Ni Tuhuma tu . Hata Donald Trumps alituhumiwa kwa mengi sana ya unyanyasaji lakini tumeona akiendelea kuiongoza Marekani kwa Miaka mingine tena minne
 
Kwahiyo unamhusisha Samia na mtu mwenye tuhuma mbaya.
 
Kwanini Samia anaji associate na watu wenye tabia za hovyo aina hii, it is not wealth kwa mtu anayekalia ofisi kubwa yenye heshima kama ikulu kuhusishwa na wavuta bangi.

Lucas Mwashambwa stop this nonsense.

View attachment 3682038
Hoja kama hizi ndio zinanifanya nione pengine tuna tatizo kwenye mfumo wetu wa Elimu..
Bora tubadili twende na sayansi ambapo huko hakuna longo longo kama hizi zinazofanya tuonekane hatuna maarifa!
Kwa taarifa yako; Kumpongeza Rais ni uamuzi binafsi wa mtu; au unafikiri Raisi anaambia watu huko Ulaya na Marekani wampongeze???
 
Hizi ni calculated movie watu wanalipwa ili wamsafisha damu kama ulikuwa hujui ndio ujue.
 
Back
Top Bottom