Msanii roma mkatolik adai akikutana na rais maguful anampiga mzinga

Msanii roma mkatolik adai akikutana na rais maguful anampiga mzinga

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Msanii wa kizaz kipya wa bongo freva mwenye stail ya kufoka foka roma mkatoliki wa vatican amedai yeye siku akipata nafas ya kukutana rais magufur uso kwa macho atakachofanya ni kumpiga mzinga rais na wala hataelezea shida za wananchi

Akihojiwa na kituo cha habali cha eatv east africa amedai yeye anashida nyingi sana ambazo akizitatua atafika mbali sana hivyo anapenda siku moja kuonana uso kwa macho na ngosha ili ampige kizinga

LONDON BABY
 
mzinga wenyewe utakuta ni wa buku 7 tu badala ampige wa maana
 
Roma lofa tu, hana la kutuambia.
 
Abadili style ya kuimba
Aimbe kwaya labda
Hip hop ameshaanza kupoteana
 
Back
Top Bottom