Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Roma ameimba "Hamjasikia tetesi kuwa Remote ipo Msoga". hayo mengine wewe unayatoa wapi?

Wanafiki mpo kama NZI, nyie mnatazama tu wapi kuna ubovu.

Idiots.
 
January , Nape , Mafuru , Kagasheki , Bade , Mchechu , mbalawa , Kinana , Mtemvu , Kairuki na kila unayemjua wa JK karudi ulingoni , kwamba Mama na JK wana maono yanayofanana ?
 
Mkamateni Mange kwanza....
 

Ila sasa hakamatiwi JF. Mpaka mumfuate alipo. Ndio demokrasia mliyosema inakandamizwa. Kwahiyo tuwe wapole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…