Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

😂😂😂😘
 
Umesikia kataja mama samia?, Umesikia kataja kikwete au unamwekea maneno mfomoni
 
Kama kocha wa Dunia aka ndugu mwalimu Nyerere aliitwa *mfalme juha" na bwana shebby Roby na kitabu chake kikafanywa kitabu cha kiada nchi nzima jamii ya wasomi chipukizi wakipitie wapate la kujifunza kuna ubaya gana kwa mashairi ya malenga huyu wa kizazi hiki yakiingizwa kwenye orodha ya malenga wapya ili wanazuoni chipukizi wapate lakujifunza
 
Unaonekana una mahaba sana na Mama, mwanzo nilitaka kukuunga mkono lakini nilipoendelea kusoma Uzi wako nikaona kuwa upo kishabiki zaidi hasa hapo unapoeleza eti "Jumuiya zote za kimataifa zimethibitisha kuwa anauwezo hata kuwapiku Watangulizi wake" hapa naona upo kishabiki zaidi.

Nadhani ungejikita zaidi kwenye maudhui hasi ya wimbo kuliko kuongeza vitu ambavyo huna ushahidi navyo, isitoshe maudhui ya wimbo huo ndiyo uhalisia wa hali halisi ya maisha ya Tanzania kwa sasa licha ya mapungufu yaliyopo.
 
huyo fala si ndiyo yule alikuwa apotezwe na Magu? Kumbe Magu alikuwa sahihi, kwanza wachunguze uraia wake.
Na wala hakuwahi kumsema Magu kwenye nyimbo zake anakosoa, kuanzia VIVA ROMA na hadi hii zote dongo ni Msoga. Tukio lile nina uhakika huyo mzee hahusiki lilifanywa tu awamu yake ili kupoteza mambo, maana hajawahi kukwaruzana naye wala kumtamka vibaya
 
Jibu hiyo ngoma yake tukusikie na wewe
 
Ni mpumbafu San huyu kijana anajionaga mweruv Sana wakt jitu limesaliwa tanga ,mwnanume gani anazaliwa tanga nae akawa mtu wa kuaminika

Dogo Ni boya sna amemdharau taasis na Bado wanamchekeee siupendi huo wimbo

Hata vyo nyimbo zake hata iweje awezi pata view za maana ataishia laki moja tu wkt kina mondi kanyimbo Cha mapenzi viewer milin nane
 
Wewe na mtoa mada ndio nyie wajinga mnaodhani hii nchi mmerithishwa na babu zenu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama vipi kunywa sumu ufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…