Msanii Rosa Ree aachia wimbo mpya ...One Way, Utazame Hapa

Msanii Rosa Ree aachia wimbo mpya ...One Way, Utazame Hapa

Hey wah gwan*****mbomboo holah holah..... nenda mahakaman kesi zetu utazikuta!!!!


Ngoma ni fireeeee
 
sijawahi muelewa huyu dada kasoro kwenye track ya up in the air lakini zilizobaki hata flow yake siielewi kabisa, ila pia nimemuelewa kwenye ngoma aliyoshirikishwa na fid Q may be kwakuwa kaandikiwa na fid mwenyewe.
 
Back
Top Bottom