mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Dec 21, 2012 #21 Mwenyezi Mungu amsaidie apone.
JICHO LA TATU JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 306 Reaction score 49 Dec 21, 2012 #22 prakatatumba said: Tamasha la bongo movie Arusha ndyo limemfanya adondoke maana na yy alipanga kufanya tamasha halafu bongo movie wakamwambia Sajuki ahairimishe maana na wao wanatamasha. Click to expand... Ila wasanii wa Bongo sidhani kama wanapendana kweli?? Mungu amponye aendelee na majukumu yake maana anapitia kwenye matatizo kila kukicha.
prakatatumba said: Tamasha la bongo movie Arusha ndyo limemfanya adondoke maana na yy alipanga kufanya tamasha halafu bongo movie wakamwambia Sajuki ahairimishe maana na wao wanatamasha. Click to expand... Ila wasanii wa Bongo sidhani kama wanapendana kweli?? Mungu amponye aendelee na majukumu yake maana anapitia kwenye matatizo kila kukicha.
C chicco JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 748 Reaction score 254 Dec 21, 2012 #23 namwombea kwa Mungu apone.Mungu amempigania sana Sajuki na ninaamini ataendelea kumpigania.get well soon brother.
namwombea kwa Mungu apone.Mungu amempigania sana Sajuki na ninaamini ataendelea kumpigania.get well soon brother.
Codon JF-Expert Member Joined Dec 16, 2011 Posts 628 Reaction score 93 Dec 21, 2012 #25 Pona haraka Sajuki,Mungu awe nawe.