Msanii Sajuki Aanguka Jukwaani Arusha

Msanii Sajuki Aanguka Jukwaani Arusha

Tamasha la bongo movie Arusha ndyo limemfanya adondoke maana na yy alipanga kufanya tamasha halafu bongo movie wakamwambia Sajuki ahairimishe maana na wao wanatamasha.


Ila wasanii wa Bongo sidhani kama wanapendana kweli?? Mungu amponye aendelee na majukumu yake maana anapitia kwenye matatizo kila kukicha.
 
namwombea kwa Mungu apone.Mungu amempigania sana Sajuki na ninaamini ataendelea kumpigania.get well soon brother.
 
Back
Top Bottom