TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

@mods unganisheni hii na yenye taarifa similar
 
R.I.P Sajuki..
Ulipigania maisha yako kweli..Afadhali uliuona mwaka..
 
weeeeee c alikuwa anahojiwa juzi kwenye mikasi!!! duh RIP sajuki.
 
Wakuu kwa habari nilizo zipata hivi punde ni kwamba msanii maarufu wa tasnia ya filamu nchini AMEFARIKI dunia !
Its so sad. Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana Libarikiwe. Source clouds fm
 
Aisee, Mungu ampe Amani na pumziko la milele.
 
May God rest his soul in eternal peace.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ameshachuriwa sana lakini, kama bi kidude. Pole kwa wafiwa.
 
pole Wastara mke wa Sajuki.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…