ukipigwa na mwanamke kamwe usijaribu kumrudishia hasa ukiwa nchi za ulaya na marekani maana utaishia jela,ndio maana jayz wakati anapigwa na dada yake beyonce kwenye lift kamwe hakujaribu kumrudishia maana alijua angerudishia tu mambo yake yote yangearibika.
nashangaa uko tanzania wanawake wanapigwa na wanaume hawafanywi kitu,nchi zilizo starabika ukimpiga mwanamke unafukuzwa na kazi,na mwisho wake ni unaenda kujibu kesi mahakamani lakin mwanamke akipiga ni sawa tu
Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.
Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyerere kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.
Sasa ni fundisho mkome kutembea na mama zenu, maisha wamejilia wapi Eda wanamaliza na nyie.Mbaya zaidi akamwamuru ampe funguo haraka sana.
Shost unavyofanya sio kabisa........tunakukosa sana ujue.........yaani sio fresh........
Slim manenomakali balaa=mkosi amaupendi kuniona jf tena mkosi unamengi nawezanikapona amakujakusujudu RIP anywanakataaakwajinala Yesu mkosi.balaa notmaportionsema amen