Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Msanii Shilole ampiga makofi Nuhu Mziwanda ambaye ni mchumba wake

Alinifunzaaa mamaaa niogoopeee. Wamaamaaaa. Kwetuuunyumbaniiiii.muhuniiiii hiiiiii Si unamumee yule amekosaaa niiiii-Barnaba
 
ukipigwa na mwanamke kamwe usijaribu kumrudishia hasa ukiwa nchi za ulaya na marekani maana utaishia jela,ndio maana jayz wakati anapigwa na dada yake beyonce kwenye lift kamwe hakujaribu kumrudishia maana alijua angerudishia tu mambo yake yote yangearibika.

nashangaa uko tanzania wanawake wanapigwa na wanaume hawafanywi kitu,nchi zilizo starabika ukimpiga mwanamke unafukuzwa na kazi,na mwisho wake ni unaenda kujibu kesi mahakamani lakin mwanamke akipiga ni sawa tu

Ata nikienda kuozea jela poa tuu! Ila namtandika kisawasawa! Yaani anipige alafu nimuangalie tu mh! Chapaa ngumi mpaka ajikojole
 
attachment.php


Haya ni mapenzi au utumwa,huyu binti bila aibu katika Tamasha la ''Tigo Kiboko Yao'' Jumamosi alimchapa makofi anayemwita mumewe mtarajiwa kisa amegoma kwenda nae.

Ilifika muda Shilole akataka kuondoka lakini Mziwanda aka boyfriend wake akamgomea, Bibie akamlabua makofi na kuomba funguo ya gari,kabla ya Steve Nyerere kuwaamulia maana walishaanza kurushiana ngumi.


Sasa ni fundisho mkome kutembea na mama zenu, maisha wamejilia wapi Eda wanamaliza na nyie.Mbaya zaidi akamwamuru ampe funguo haraka sana.

attachment.php

Mujini msingi kiuno....
 
Inasemekana chanzo ni kuwa Nuhu aliambiwa tangulia nyumbani nitakuja akaleta za kuleta.

Hata hivyo kwake kupigwa kibao sio ishu, ishu ni kwa nini ampige mbele za watu....na ndicho wanachendelea kulumbana huko walipo....

Nini kibao, laiti mngelijua mengine yanayoendelea ndani ya zile "kuta nne" mngeona hicho kibao sio kitu...hivi mnamuonaje Shishi bebi...akimchimbia dogo biti la kisawasawa "niguse uone,ndio utajua mimi ni nani"...mwenzenu anaambulia kujichua ili hali mzigo upo papohapo.
 
duh toka amvishe pete hata mwezi bado hapo kuna changamoto maana dalili ya mvua ni mawingu.kama mapema hivi kaanza kupalakashwa mbata sijui inakuweje wakimeremeta.
 
Slim manenomakali balaa=mkosi amaupendi kuniona jf tena mkosi unamengi nawezanikapona amakujakusujudu RIP anywanakataaakwajinala Yesu mkosi.balaa notmaportionsema amen



R.I.P somo la mwandiko.
 
Kamchapa makofi? hapo alijisahau akachukua nafasi ya mzazi!
 
Uchebe kapindua meza au siyo!!?

Mwanamke hapigwi.
 
kila tunapoelekea kwenye uchaguzi lazima shilole aje na pambano but this time amelose kwa TKO, na tulisubirie pambano lake la marudio na Nuh mziwanda mwaka 2025.
 
Shishi kasanda..
Tatzo hakujua kutofautisha kati ya mwanaume na mtoto wa kiume.
Mwanaume anapigana na anapiga.(Uchebe)
Mtoto wa kiume anachambwa na kuchapika ndio huyu Nuhu.
 
Back
Top Bottom