Msanii Shilole kufungua Hotel yake Mpya itakayoitwa ‘CHUNABUZI’

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Ni msaani wa Bongo Flava anayefahamika kwa jina kama Shilole anatalajia kufungua cafe ya chakula hapa jijini Dar es salaam katika maeneo ya Mwananyamala.
Shilole ambaye kwa sasa anayetamba na wimbo wake mpya wa ‘Chunabuzi’ akizungumza kupitia kipindi cha 255 ya XXL ya Clouds FM.
Msanii huyo mwenye taaluma ya Hotel Management alisema “mgahawa huo nafungua pale pale nyumbani kwangu ninapoishi Mwananyamala na aliongezea kwa kusema “kutakuwa na vitu vingi sana kwa sababu kutakuwa na vitu vya kisasa sana na chakula kitakuwepo kuanzia asubuhi.”

Jina la mgahawa huo limetokana na wimbo wake wa ‘Chunabuzi’pia Shilole aka Shishi aliwahi kufanyakazi katika hotel ya Peackock na baadae akafanya kazi Florida restaurant then akaacha baada ya kupata mpunga na kuanzisha biashara zake mwenyewe kama Shilole.
 
Ye mwenyewe pilau tosha hapo.....ila vizuri kuliko kutegemea kaz za mzk na chunabuzi
 
Siku hizi naona kazi ya sanaa inalipa,kila msanii anasema amejenga na sijasikia habari za michango ya kusafirisha india,inaonekana kazi imeanza kulipa
 
Kwanza usitumie simu za screen touch kupost thread utakosea sana.
Pili shilole jina pia ni moja ya marketing strategies sasa unaweka jina halina mvuto unasema utakuwa bakubwa hahahaha.........eti Chunabuzi ila poawa good idea.All the best.
 
Chunabuzi? hapo chenzi zitakua hazirushwi!
 
Kwa hilo jina, itabidi watu tuishie kununulia dadaz chips kavu; sana sana na mayai mawili pamoja na fanta.
 
Hayo ndio mambo ya maendeleo yanayotakiwa,sio kupiga mayowe tu na kusengenyana.
Big up mdada.
 
hawa kwanini huwa hawatafuti ushauri kabla ya kuanza biashara namshauri abadilishe jina ila km ataifungulia uwanja wa fisi haina neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…