Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ni msaani wa Bongo Flava anayefahamika kwa jina kama Shilole anatalajia kufungua cafe ya chakula hapa jijini Dar es salaam katika maeneo ya Mwananyamala.
Shilole ambaye kwa sasa anayetamba na wimbo wake mpya wa Chunabuzi akizungumza kupitia kipindi cha 255 ya XXL ya Clouds FM.
Msanii huyo mwenye taaluma ya Hotel Management alisema mgahawa huo nafungua pale pale nyumbani kwangu ninapoishi Mwananyamala na aliongezea kwa kusema kutakuwa na vitu vingi sana kwa sababu kutakuwa na vitu vya kisasa sana na chakula kitakuwepo kuanzia asubuhi.

Jina la mgahawa huo limetokana na wimbo wake wa Chunabuzipia Shilole aka Shishi aliwahi kufanyakazi katika hotel ya Peackock na baadae akafanya kazi Florida restaurant then akaacha baada ya kupata mpunga na kuanzisha biashara zake mwenyewe kama Shilole.