Msanii Sister Fey awekwa chini ya Ulinzi wa Polisi kwa Matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram

Ameandika kukamatwa Faiza kunatokana na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa filamu na baadhi ya Wananchi juu uwekaji wake wa picha na video zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii

Atafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika ili sheria ikachukue mkondo wake

Mpaka sasa Msanii Maua Sama, Watangazaji Soudy Brown na Shaffih Dauda, Michael Mlingwa(MxCarter), Katibu Mwenezi wa CHADEMA Tumaini Makene, Mshehereshaji Anthony Luvanda na wengine wawili wanashikiliwa na Polisi

1.jpg
 
Ningekuwa ndo nimemkamata ningemchoma sindano ya sumu kumuondoa taratibu
 
Huu ni upuuzi .serikali inaacha ku deal na vitu vya msingi
Maadili upuuzi mtupu.
Yeye anaweka kwenye acc yake.halazimishi um follow na pia mtoto chini ya 18 kwanini mmpe simu ? Wazazi wengine hovyo sana
Kama hutaki mwanao aone hivo vitu usimpe simu
 
Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram

Ameandika kukamatwa Faiza kunatokana na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa filamu na baadhi ya Wananchi juu uwekaji wake wa picha na video zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii

Atafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika ili sheria ikachukue mkondo wake

Mpaka sasa Msanii Maua Sama, Watangazaji Soudy Brown na Shaffih Dauda, Michael Mlingwa(MxCarter), Katibu Mwenezi wa CHADEMA Tumaini Makene, Mshehereshaji Anthony Luvanda na wengine wawili wanashikiliwa na Polisi

View attachment 873572
Pengine mkono wa sheria unaweza kumhekimisha.
 
Wanaolalamika vya maana hawashughulikiwi wizi za movie zao ( ingawa hazina ubora) hawa waliokataa tamaa ya maisha wakilalamikiwa vimbelembele vimewajaa yaani huyo shoza ni bure kabisa
 
Sidhani kama sister fey kuna sheria yoyoyte amevunja
 
Back
Top Bottom