Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha, huyu dada inaonekana wengi hawampendiAfadhali msiiieew simpendi yule
chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii...
duuhNingekuwa ndo nimemkamata ningemchoma sindano ya sumu kumuondoa taratibu
Wewe umeelewaje hivyo vifungu?Soma kipengele A na B hapo uone kama hajavunja sheria.Hiyo ni EPOCA 2018 ipo kwenye website ya TCRA kasome usije laumu ukinaswa View attachment 873635
Wewe umeelewaje hivyo vifungu?
Hizi sheria zilizoandikwa kwa kingereza, ilhali sisi kama watanzania lugha mama ni Kiswahili, unadhani tunaielewa kweli?Soma kipengele A na B hapo uone kama hajavunja sheria.Hiyo ni EPOCA 2018 ipo kwenye website ya TCRA kasome usije laumu ukinaswa View attachment 873635
Hizi sheria zilizoandikwa kwa kingereza, ilhali sisi kama watanzania lugha mama ni Kiswahili, unadhani tunaielewa kweli?
Mbali na hivyo, ni watanzania wangapi wanasoma kuhusu sheria ama katiba kwa ujumla?
Mimi binafsi naona hajavunja sheria kwakuwa tunaotumia simu wote ni 18+ na huo ndio muda stahiki wa kuanza kufanya hayo mambo.
kwa hiyo mkuu kwa kuwa ccm inatumia wasanii kwenye kampeni zake.. wewe ulitaka aachwe kwa upuzi anaoufanya sister fey? usiingize siasa kwenye upumbavu kama wa sister fey mkuuKampeni za ccm zikisnza wasanii waende
Huyo nae msanii au mganga njaa,sura yake kama mrisho mpotoMuigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram
Ameandika kukamatwa Faiza kunatokana na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa filamu na baadhi ya Wananchi juu uwekaji wake wa picha na video zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii
Atafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika ili sheria ikachukue mkondo wake
Mpaka sasa Msanii Maua Sama, Watangazaji Soudy Brown na Shaffih Dauda, Michael Mlingwa(MxCarter), Katibu Mwenezi wa CHADEMA Tumaini Makene, Mshehereshaji Anthony Luvanda na wengine wawili wanashikiliwa na Polisi
View attachment 873572