Msanii Sister Fey awekwa chini ya Ulinzi wa Polisi kwa Matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii

Wanaolalamika vya maana hawashughulikiwi wizi za movie zao ( ingawa hazina ubora) hawa waliokataa tamaa ya maisha wakilalamikiwa vimbelembele vimewajaa yaani huyo shoza ni bure kabisa
Ur right.
 
Soma kipengele A na B hapo uone kama hajavunja sheria.Hiyo ni EPOCA 2018 ipo kwenye website ya TCRA kasome usije laumu ukinaswa
 
Hivi huyu dada ni msanii wa nini? Mi nadhani apelekwe hospitali maana naona kama kaweuka, na ka kijana kake amemwachia nani? Na ukute kakijana kana baba na mama!!!
 
Hivi wale wenye account zinazohamasisha na kushawishi ngono tunawashughulikiaje?



Cc: mahondaw
 
Kwani kwenye mitandao ya kijamii kuna watoto kule au wote sini watu wazima
 
Wekeni basi hizo picha zilizosababisha malalamiko,hiyo picha na ben10 wake kwani inashida gani?
 
Sipendi jinsi sista fey anavyofanya upuuzi wake insta pia naye huyo shonza angemkamata kimya kimya na si kutueleza vitu minor kama hivyo.
 
Sasa huyo mtoto aliyemuacha Nyumbani hela ya maziwa anapata wapi,,,?serikali iwe na huruma Asee[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahhaha
Watu mna vituko sana.
Ila kweli...sijui atapata wapi pesa ya maziwa na Cerelac
 
Hahahahhaha
Watu mna vituko sana.
Ila kweli...sijui atapata wapi pesa ya maziwa na Cerelac
Kutoa ni moyo tutembeze bakuli nahisi ana hali mbaya mno...
Naanza na mimi nitachangia Tsh 5 vyuma vimenikwaza
 
Wamuache sister fey na kiben10 chake..
Halafu sister fey ntamtafuta nimpiku huyo ben10 mwenzangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…