Msanii Sister Fey awekwa chini ya Ulinzi wa Polisi kwa Matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii

Ila shoga angu fey alikua anatupa raha insta , alijua kudamshi🤣🤣🤣
 
Afadhali msiiieew simpendi yule
 
Hivi yule ni msanii kumbe?!

Basata wana kazi kubwa sana jamani
 
chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii...

kufuatia tuhuma za tabia ya matumizi mabaya ya...

sio kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya....

waandishi jifunzeni kuripoti taarifa za kisheria na reported speech
 
Yes hivyo vinaelezea prohibited content, kile ambacho hupaswi kukiweka online, ukikiuka dola inakula kichwa,no excuse kwenye sheria mwanawane,
Wewe umeelewaje hivyo vifungu?
 
Soma kipengele A na B hapo uone kama hajavunja sheria.Hiyo ni EPOCA 2018 ipo kwenye website ya TCRA kasome usije laumu ukinaswa View attachment 873635
Hizi sheria zilizoandikwa kwa kingereza, ilhali sisi kama watanzania lugha mama ni Kiswahili, unadhani tunaielewa kweli?
Mbali na hivyo, ni watanzania wangapi wanasoma kuhusu sheria ama katiba kwa ujumla?
Mimi binafsi naona hajavunja sheria kwakuwa tunaotumia simu wote ni 18+ na huo ndio muda stahiki wa kuanza kufanya hayo mambo.
 
Kama taifa tuna Codes of conduct,hatuendi endi tu eti kwa sababu tuna 18+, ni kwa sababu hii hatufanyi tendo la ndoa hadharani kwa mfano,think about it.
Kutojua sheria sio excuse hata kama iko ktk lugha ya malkia.
 
Kampeni za ccm zikisnza wasanii waende
kwa hiyo mkuu kwa kuwa ccm inatumia wasanii kwenye kampeni zake.. wewe ulitaka aachwe kwa upuzi anaoufanya sister fey? usiingize siasa kwenye upumbavu kama wa sister fey mkuu
 
Huyo nae msanii au mganga njaa,sura yake kama mrisho mpoto
 
Huyo mshenzi aendelee kushikiliwa tu maana aibu anayofanya insta haivumiliki.
 
Huyu naye anaimba nyimbo zipi ? Dunia inaenda speed sana kuna vitu nakosa muda wa kufautilia
 
na wale wanaoshinda insta kumtukana zari,hamisa na wema sepetu pia watiwe ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…