Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini maana bibilia imetuhusia kuishi na mwanamke kwa akili?Ahahahaha! Ndugu yangu huyu ishini nae kwa akili.
Huyu naye njaa inamsumbua.
Hilo neno niyeye ni kiswahili tu cha kawaida ingekuwa hivyo hata aliyetunga kiswahili angekuwa anatudai pesa kwa kwa kutumia lugha yake ya kiswahili
Dogo ameanza kuchizika nini? Au ndio kila msanii na njia yake ya kutafuta kiki?!Msanii Khalid Mohamed aka Top In Dar (TID) ameibuka na kutaka chama cha Demokrasia na Maendeleo kimlipe kwa kutumia neno "niyeye" katika kampeni zao. Msanii TID anadai neno "niyeye" ni ubunifu wake
Lakini hata hivyo kwa mujibu wa kifungu cha 5 hadi cha 7 cha Sheria ya Hakimiliki ya mwaka 1999, Copyrights and Neighbouring Act of 1999, "maneno" na "mawazo" ya wasanii si sehemu ya vitu vunavyotakiwa kulindwa chini ya Sheria hiyo.
Sheria hiyo imeweka wazi kuwa inalinda kwa lugha ya kisheria "expressions" and not "ideas".
Ijulikane wazi kuwa wazo linaweza kufanana na la msanii mwingine lakini namna ya kulieleza na kuliwasilisha wazo husika inaweza kuwa tofauti kabisa toka msanii mmoja hadi mwingine. Kwa mfano wasanii wawili wanaweza kuwa na wazo la kuimba wimbo wa mapenzi wa mwanamke masikini kumpenda mwanaume tajiri lakini si rahisi kutumia beat na melody ya aina moja. Wanaweza pia wakajikuta wanatumia baadhi ya maneno sawa kwa mfano katika scenario hiyo neno kama " mapenzi" "nakupenda" etc yanaweza tumiwa na wote lakini kwa namna tofauti.
Hivyo kinacholindwa na sheria ni "expression" yaani ule ufundi na ubunifu wa msanii wa kulielezea jambo na siyo "maneno" anayotumia msanii wala "wazi" la msanii.
Isipokuwa tu maneno husika yawe yamesajiliwa chini ya sheria nyingine mfano kama trades mark au service mark ya bidhaa ya mhusika na anayetumia awe anatumia katika namna inayovunja haki au kuwachanganya wateja wa bidhaa hizo mbili. Jambo ambalo katika mazingira haya halipo.
Kwa vyovyote vile huwezi kusema kutumia kwa neno niyeye kwa CHADEMA achilia mbali tu kwamba halilindwi chini ya copyright laws bali tu hakuna madhara yoyote ya kiuchumi anayoyapata TID na vilevile CHADEMA hawalitumii kujiingizia pesa hivyo ni "fair use".
Source: millardayo YouTube channel
Hata wanaolitumia mtaani nao wamlipe mbona atatajirika Kama Laizer huyu kweli kakosa Skendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahaha! Ndugu yangu huyu ishini nae kwa akili.
Msije kustaajabu akiwambia mmlipe hadi Kutaja jina lake [emoji23][emoji23][emoji23]madawa yanakula mpaka akili
Ya kulialia anayoAnayo hatimiliki?
Kwanza hiyo Dar anaoitumia kwenye jila lake anajua gharama yake ?Msije kustaajabu akiwambia mmlipe hadi Kutaja jina lake [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua sometimes akili inakosa cha kufanya ndo kaona aamke hivyo Leo [emoji1787][emoji1787]Kwanza hiyo Dar anahoitumia kwenye jila lake anajua gharama yake ?
Read my threads SirUnamaanisha nini maana bibilia imetuhusia kuishi na mwanamke kwa akili?