Uchaguzi 2020 Msanii T.I.D aitaka CHADEMA imlipe kwa kutumia neno "Ni Yeyee" kwenye kampeni zao

Uyu kijana amewehuka siku hizi.
Bangi inamletea hallucination.

Kumbe huko daslam watu wana maneno yao bwana ukitumia bila kibali unapaswa umlipe mwenye neno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Huyu TID akubali ndani ya moyo wake ni CHADEMA, unatupiga promo sisi makamanda bila ya kujua, endelea kulia
 
Hahaa nimeamini mtu akishatumia drugs hata kama kaacha ni vigumu kwake kurudi hali ya kawaida.
Say No To Drugs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…