Uchaguzi 2020 Msanii T.I.D aitaka CHADEMA imlipe kwa kutumia neno "Ni Yeyee" kwenye kampeni zao

A
Anatumika
 
Najitolea kumlipa TID mwàmbieni anitumie Invoice.
Njaa inamsumbua huyo jamaa na akiiendekeza atakuja liwa jicho.
 
Mlipeni jamani japo akajipooze koo na juice baridi
 
Bhangi+Pombe+Sonona havijawahi kumuacha mtu salama...
TID abadilishe tu jina awe LID!! Anajaribu kujimaliza zaidi kwa kutaraji huruma ya "wanasiasa" huku akisahau "mtaani" wateja wa sanaa wana yao.
Akijiangalia "lo...ng time kitambo!!" Akiwatazama kina Kiba, Mondi, Harmo... anajiuliza kakosea wapi mbona vijana wanamvua nguo!!??
Mwacheni TID ajipoze ana mengi moyoni na anahitaji atumike tena ili alau aone kama ataambulia chochote!!
 
Kuna ubunifu wa maneno ma2?
saaa kila mtu akichukua maneno yake ma2 na akasign copyright wengine si watakosa!
 
Inasikitisha Cdm kukosa ubunifu mpaka kwenda kuiba misemo ya watu, walahi wamekwisha
 
Neno yeye ndiye nineno lakiswahili linatumika Kila siku nikiwakilishi ktk semi,, siyo haki yamtu na sineno jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…