Msanii T.I na Mkewe watuhumiwa kwa kufanya Biashara haramu ya kusafirisha Binadamu

Msanii T.I na Mkewe watuhumiwa kwa kufanya Biashara haramu ya kusafirisha Binadamu

TI sikuzote amekuwa mstari wa mbele kudai haki za mtu mweusi na kupinga uonevu dhidi ya Polisi, itakuwa wanatafuta namna ya kumtoa kwenye mstari
 
Hakuna mwanamke anaekubali dudu ya mume wake iingie kwenye k ya mwanamke mwingine
We unadhani "Wazungu" wana akili mzuri?! Usikute lengo lao hapo ni threesomes. Na usisahau T.I alikuwa na tabia kumpeleka binti yake kuchunguzwa kama bado bikra ipo hadi yule binti alipoamua kumtolea uvivu!! Sasa hawa watu wanaoumia kugongewa watu wao wakaribu ndo mafuska kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom