We unadhani "Wazungu" wana akili mzuri?! Usikute lengo lao hapo ni threesomes. Na usisahau T.I alikuwa na tabia kumpeleka binti yake kuchunguzwa kama bado bikra ipo hadi yule binti alipoamua kumtolea uvivu!! Sasa hawa watu wanaoumia kugongewa watu wao wakaribu ndo mafuska kupita maelezo.